iqna

IQNA

Burkina Faso
Ugaidi
IQNA - Shambulio dhidi ya msikiti mashariki mwa Burkina Faso liliua makumi ya Waislamu siku ambayo a shambulio lingine baya dhidi ya Wakatoliki waliokuwa kanisani.
Habari ID: 3478419    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/27

Waislamu Burkina Faso
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha uenezi cha kimataifa chenye mfungamano na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS) mjini Karbala, Ira kimeandaa duru za Qur'ani na programu za elimu kwa wanafunzi wa shule na vyuo vikuu nchini Burkina Faso .
Habari ID: 3476261    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/17

Mapinduzi ya Kijeshi
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani kuondolewa madarakani kwa rais wa Burkina Faso , Paul-Henri Damiba na maafisa wa kijeshi.
Habari ID: 3475869    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/02

TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu y Iran ameelezea kusikitishwa kwake na kupoteza maisha na kujeruhiuwa idadi kubwa ya raia wa Burkina Faso .
Habari ID: 3474563    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16

TEHRAN (IQNA)- Waumini wasiopungua 16 wameuawa baada ya watu waliobeba silaha kushambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Burkina Faso .
Habari ID: 3472171    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/14